unaukumbuka ushirikiano huu?

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,381
4,648
wana jamvi leo nawaletea ushirikiano maalum wa manguli wa muziki enzi hizo ZAIRE ya MOBUTU SESE SEKO NKUKU NGBENDU WA ZA BANGA uitwao NGUNGI(mbu) amboa kiufupi wimbo huu ni kisa cha kweli ambacho kilimtokea FRANCO LWAMBO LWANZO MAKIADI ambaye kipindi hicho alikuwa haelewani na mtawala wake(mobutu)hali iliyopelekea FRANCO kufukuzwa ZAIRE na yeye kuamua kukimbilia UBELGIJI ambapo akiwa anaishi huko,alikutana na TABU LEY ROCHEREAU aliyefika UBELGIJI kwa ajili ya tamasha fulani ndipo wawili hao walipo kubaliana na kufumua kibao hicho ambacho kiliteka hisia za watu wengi barani afrika kutokana na mashairi yake,sauti zilizopangwa zikapangika,vyombo pamoja na manguli hawa kuwasilisha vilivyo fasihi simulizi ya kile walichokusudia kusema kupitia muziki...karibuni leo tumzunguzie...FRANCO LWAMBO LWANZO MAKIADI...endelea
 
Back
Top Bottom