Unaujua Mtori?

Huo ni mtori "modified" orijino, hauwekwi nazi wala bizari wa Thomu na Tangawizi.
 
Uwe unauliza kwanza we mtoa mada! Ulichoandika hapo sio mtori ila ni machalari or ndizi nyama.....mtori hauandaliwi kihivyo!!
 
Huo ni mtori "modified" orijino, hauwekwi nazi wala bizari wa Thomu na Tangawizi.
Kwa kuongeza tu, chumvi, ndimu na nyanya huwa haziwekwi kwenye mtori.... na nyama zinazotumika ni za mifupa especially bone marrow, na zile zenye mafuta.
Pia step ya 9 na kumi hapo umechanganya, inabidi utumie pikichio i.e upikiche mtori kwa dakika kama kumi.
Last but not least.... ongeza damu kidogo (yes, damu mbichi), pikicha tena kwa dkika tano while heating.

And please...please serve hot!!
 
ngoja nipike mtori leo
mmenichosha kunitamanisha
tena napika ule wa kienyeji

dadaaaa, kanunue ndizi za 2000, na nyama kilo moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom