Una appliances zipi?
Sina vitu vingi zaidi ya taa, redio na tvuna appliances zipi?
hivo havitumii umeme mwingi, unit 4 ni nyingi kwa vitu hivyoSina vitu vingi zaidi ya taa, redio na tv
Nimeandika unit 1.3 kwa sikuhivo havitumii umeme mwingi, unit 4 ni nyingi kwa vitu hivyo
then it is OK!
bulb moja.. kama huwaibii Tanesco 😀 😀 😀 😀Unit 70 miezi 3
Unit 4_5Unatumia yuniti ngapi za LUKU kwa siku?
Wajemeni, siku hizi naona kama mita ya umeme inakimbia. Hivi kwa wastani yuniti ngapi za LUKU hutumika kwa nyumba ya kawaida tu?
Bulb sita,feni mbili radio mbili pasi tatu na mambo mengine.bulb moja.. kama huwaibii Tanesco 😀 😀 😀 😀