Ahsante farkhina huko nitokako hawajambo na wanakusalimu saaana ila tumechelewa sana sababu basi liliharibika njiani!!!!!!
Aaaaanh japo si mpenzi sana wa soda ila ndo ugenini sasa!!!!
Fanya hivi wakati nasubiri maji ya kuoga nifungulie Coke, hii fanta weka frijini ntainywa wakati wa kula maana hii kama juisi tu, pepsi hiyo ntashushia baaadae wakati nangalia habari ya saaa nne usiku!!!!!!
Big Coka niwekee chumbani kabisa maana mim kwa kiu za usiku ndio mwenyewe yaani nikitoka tu kukojoa napumzika kidogo halafu napiga pafu mbili tatu then nalala aaaaanh mpaka asubuhi litakuwa kwisha habari yake!!!