sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
Ya kwangu hapo haipo!!!
Soda gani hiyo?
Let me guess,NOVIDA!!!!
Ya kwangu hapo haipo!!!
Soda gani hiyo?
Let me guess,NOVIDA!!!!
natumia cocacola na pepsi sometimes,ila now natamani ninywe BIG COLA kwa mda nijue ladha yake
Natumia soda juice: fanta orange, mirinda orange,7up, sprite.
Dada na wewe unakunywa hizo soda za kwenye hiyo attachment?????!!!!
Tangu lini hiyo mambo??!!!!!!
Unaweza bana nakutania!Coke ina caffein ambayo ni kilevi,tetehehe,hata soda hutaki ninywe kama ya kwako!
me nakunywa cocacola natamani nionje hiyo big cola.
Hahahaha wewe ni mpnz wa kunywaji gani?
Mbona unawatishia wanywaji ????? MTOTO AKILILIA WEMBE MPE AFAIDI NAOBIG COLA!Dont try this,at home,bar,lodge,hotel,school or anywhere!
Mbona Heltho haipo?