🤣🤣🤣🤣 Dr unashambulia vizuri ukitokea pembeni🤣 Sisi na jamaa ni damu damu ndoa ya kirumi, mpka team wajasiliamali wa Sido waishe.Mimi nilikuwa nakaa kwa uncle ni wealthiest person Ila mambo ambayo sabuni ilikuwa ni jamaa 😁 so nilijifunza kuwa masikini ndo wanahangaika kutakatisha ngozi kwakuwa everything is uncertainty
😁😁😁 Ahaaa .🤣🤣🤣🤣 Dr unashambulia vizuri ukitokea pembeni🤣 Sisi na jamaa ni damu damu ndoa ya kirumi, mpka team wajasiliamali wa Sido waishe.
Kumbe ndani ya jiji ulifikia Kwa mjomba,hongera sana mkuu😁😁😁 Ahaaa .
Unajua wakati nakaa Bukoba Nyumbani ilikuepo sabuni ya kuogea , ya kufulia na kuoshea vyombo.
Ila maisha yetu yalikuwa ya kawaida
So nilipofika DSM kwa uncle , the guy is wealthiest person Ila alikuwa akioga Jamaa , kufulia jamaa, na kuoshea vyombo and life was great .
So mambo mengi na maamuzi tunayofanya masikini hayana tija and I learn from there kuwa kuitunza ngozi sio sabuni bali , Chakula kizuri, matunda , maji safi ya kutosha na kutopigwa na jua muda mwingi .
Imperial ya sahiv tofauti sana na zamani, zamani mtu anaogea hiyo sabuni Hadi nje mnaisikia siku hizi ukimaliza TU kuoga harufu nayo inaishia huko huko bafuniImperial na Life buoy
Tena ya zamani ilikuwa kama ina mafuta kabisa, kipindi nasoma primary nilikuwa naenda shule na imperial, basi nikiishiwa mafuta napaka povu la sabuni na unang'aa kama umepaka mafuta tuu.Imperial ya sahiv tofauti sana na zamani, zamani mtu anaogea hiyo sabuni Hadi nje mnaisikia siku hizi ukimaliza TU kuoga harufu nayo inaishia huko huko bafuni
Maajanu ukikibandua sabuni inakuwa na mwonekano mbaya 😀Hivi kile kikaratasi cha kwenye "EMPERIAL" mbona huwa akiishagi au hakilowi na kuchanika! Utaoga weee utamaliza sabuni yako baada ya wiki 2 lakini kile kikaratasi pale kinabaki vile vile!
Kulikuwa na Mafuta ya kupaka ASHANTI na YOURevola was the best hizi kampuni sijui kwanini huwa zinakufa na kulikua na mafuta ya kupakaa ya YU na Yolanda