Unatumia sabuni gani kuogea?

Hivi huwa kuna sabuni ya kuogea hadi hutaki kutoka bafuni kama Mena kweli!!
 
Enzi hizo bongo zilikuwa hazipatikani wafanyabiashara wengi walizitoa Malawi.
 
Jamaa si ni sabuni ya kufulia hiyo kwa jina jingine gwanji?
 
Ile jamaa inatosha sana..Nafurahi kuiona famelea yangu one love 🤣🤣
Mimi nilikuwa nakaa kwa uncle ni wealthiest person Ila mambo ambayo sabuni ilikuwa ni jamaa 😁 so nilijifunza kuwa masikini ndo wanahangaika kutakatisha ngozi kwakuwa everything is uncertainty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…