Unatumia sabuni gani kuogea?

Kabisa chief! Mie ni mtumiaji mkubwa wa hizi imperial kuna kipindi alikuja bimkubwa mmoja toka uingereza alikuja nazo imperial za huko aise arifu ni tofauti, hata jinsi inavyoisha ni tofauti pia.
Imperial za siku hizi na zamani ni tofauti sana, zamani hata baada ya kuogea utabaki unanunikia tu hiyo sabuni,
Hata ukiingia bafuni kama ipo utaiskia tu harufu yake
 
Mimi huwa naiba vile viEva vya mahotelini na lodges, ndo natumia. Navipenda sana japo havina heshima. Unaweza kushangaa kimepotea tu mwilini maana vidogo sana
 
Mimi huwa naiba vile viEva vya mahotelini na lodges, ndo natumia. Navipenda sana japo havina heshima. Unaweza kushangaa kimepotea tu mwilini maana vidogo sana
Huko hotelini unaenda kila siku mkuu? maana hivo vi eva ni vidogo unaogea mara moja tu kishaisha😂
 
Za magadi
Ambazo ikiingia machoni lazima ujambe bafuni[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…