Unatumia dakika ngapi kumalizia tendo?

Unatumia dakika ngapi kumalizia tendo?

Mwanamke mwenye miwowowo huwa nacherewa sana kwa nusu saa😁😁😁 ila wakuu fred ni mujinga😂😂😂😂anamlipia ada ya chuo mwanamke asie mke wake.....semister imefungwa na mwanamke karudi na ujauzito😂😂😂😂😂..jamani fred ni mujingaa..
 
Wakuu heshima kwenu


Nakumbuka muda mwingine nafikisha dakika 45

Siku zingine kama nina hisia sana
Ni mwendo wa dakika sita
inategemea na siku hiyo nimepania vipi mchezo na dem mwenyewe yuko vipi

Ila siku ambazo sina hisia na hili tendo naweza kufikisha masaa mawili hadi matatu nisifike kishindo

Vipi wewe kwa upande wako View attachment 2368915
Nenda hospital kachek afya..... Mi naendaga masaa mawili 1st Round.
Na bado nahangaika na karanga..

We dakika 45.
Aiseee nenda medical
 
Yaani dakika 45 mpira unaanza mpaka half time wewe ndio unamwaga.
Aidha unatumia Dawa au unafanya na kupumzika.

Kikawaida binadamu mwanaume ni dakika 5-10. Akizidi Sana 15.
Hizo dakika 45 lazima uwe umeedit.
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu kwa kuwa umeongea ww sina neno[emoji125][emoji125]
 
Kwa hoja Sawa.
Ila Kama ni maamuzi yako sitakubishia.
Kulingana na hoja ya mtoa mada,
Nadhan wanaume wote haiwez uniform tuwe sawa MDA wa kuanza na kumaliza tendo

Ndo maana kwa trendi Hii ya wachangiaji
Binafs nmeshindwa hata kuchangia MDA want ukoje maana sijaona hata tunaofanana au kuelekeana kushea interval

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unaungana na mtoa mada?

Ili tujadili kisayansi hapa namna mwili WA binadamu unavyofanya kazi.
Hasa mfumo wa Damu na Ubongo maana mifumo hiyo ndio unahusiana na kipengele hicho ya Uume kusimama pamoja na Kumwaga.
Ndo maana ukisoma vizur comment yangu nmesema kua wengine tukichangia tunaweza kuonekana tuna matatizo kiafya.

Maana nilivosoma comments za wadau nmejikuta Niko out of normal, nikapiga kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom