Unatumia bando la internet kiasi gani kwa mwezi?

Kwa siku natumia 5GB, kwahiyo kwa mwezi natumia 150GB.
Thanks to freebasics, la sivyo ningekuwa natumia mpaka 200GB kwa mwezi.
 
IMG_3386.JPG
 
Freebasics ni kitu gani mkuu, hebu nitoe ushamba.
internet.org(Freebasics) ni huduma ya internet bure kwa nch zinazoendelea, ilianzishwa na Mark Zugerberg(Mmiliki wa Fb), Mwaka 2013.
Njoo hapa kwanza ili uelewe vzr, Si unajua fb unaweza ukaingia bla bando? Voda, tigo na airtel kila siku wanatangaza, basi ujue yale n majigambo tu, wao wanatumika kama daraja, Mwenye kutoa free Mwenyewe n facebook hao voda, tigo na airtel wameingia ubia tu na Mark, na kwa hapa Tz nahc n hao tu, hao wengne mf halotel labda kama wamejiunga hv karbun, wao wananufaika kwa kua mitandao yao ya simu itatumika na inapata wateja weng lakn Mark nae ananufaika kwa kuifanya Fb izid kujulikana.
Hujawah kuona au kusikia mtu anatumia kisimu cha toch hakina hata internet ila analetewa msg ya fb kama text ya kawaida? Kama ulishawah basi hio nayo n moja ya huduma ya freebasics, Huo ulikua mf wa fb,
Haya tuendelee sasa, Mark akatanua huduma kwa kuingia ubia na social networks kama hii Jf, BBC, Wikihow, wikipedia, Bing, Ask.com na nyingne baadh hasa zile zenye kutoa taarfa kwa jamii, mf afya, weather, usalama n.k, ili kufanikisha kufkisha huduma akaingia ubia na Makampun makubwa ya simu kama, Nokia, sony,samsung, Qualcom na MTK zote, iphone na blackberry hawamo, wanaamin mtumiaji wa simu hz bando haliwez kua shda kwake, vile vile akaingia ubia na browser kama opera, chrome na mozila kutoa hii huduma.

Hvyo basi, ili upate huduma ya freebasics kwanza lazma uwe mtumiaji wa Mitandao ya cm tajwa hapo juu, pili lazima uwe mtumiaji wa makampun ya cm tajwa hapo juu, tatu lazma uwe mtumiaji wa browser tajwa hapo juu, nne lazma uwe unatumia mitandao ya kijamii tajwa hapo juu, tano lazma uwe katka nch zinazoendelea, vgezo hv 90% tunavyo.

Basi kwa kufuata vgezo hvyo unachotakiwa kufanya n kutype www.freebasics.com na moja kwa moja watakuletea mitandao yote ya kijamii inayosupport freebasics na utaperuz bure kbsa, natumai kama ulikua unashndwa kuingia jf bla bando huu ndo utakua mwisho labda utafte sbb nyingne.
NOTE: hvyo vigezo vinaweza kupungua au kuongezeka kulinganga na mikataba au makubaliano respectively.
 
Barikiwa sana
 
Back
Top Bottom