Unatongoza mara ngapi kwa siku?

Mi binafsi kila siku lazma nitongoze/kuomba contact walau mwanawake mmoja au wawili ili kuchangamsha afya ya akili na kuifanya simu isiote kutu,haijalishi kama watakubali ama kukataa but changamoto inakuja kwenye kufanywa ATM mwe!!
toa uzoefu wako we unatongoza wangapi kwa siku?
 
Hahahahaha ni shida wanaume wenzako wanawaza kutengeneza Boeing wewe unawaza idadi ya kutongoza.
 
Kuna siku nimefanya huu utafiti nione hali ipoje, basi siku hiyo nikawa natongoza tukila demu ninaye kutana naye , basi hadi giza kuingia nilitongoza kama mademu 15, na nikapata namba z simu 12, ila hakuna hata mmoja niliye wasiliana naye au kumtafuta
 
duh we noma
 
Mi binafsi kila siku lazma nitongoze/kuomba contact walau mwanawake mmoja au wawili ili kuchangamsha afya ya akili na kuifanya simu isiote kutu,haijalishi kama watakubali ama kukataa but changamoto inakuja kwenye kufanywa ATM mwe!!
toa uzoefu wako we unatongoza wangapi kwa siku?
Wengine siku nzima tunaweza tusikutana na mwanamke. Unatoka nyumbani unaenda ofisini na gari, ofisi zetu wengine hakuna wanawake, nikitoka ofisini kwenye gari narudi nyumbani. Unatongoza saa ngapi? Labda weekend kwenye maeneo ya starehe.
 
tongoza hata jf bro
 
Eti mazee swali la ufahamu kwa mwenye mzani huko kwake.....Mwanaume ukidindisha kg zinaongezeka..?
 
Mi binafsi kila siku lazma nitongoze/kuomba contact walau mwanawake mmoja au wawili ili kuchangamsha afya ya akili na kuifanya simu isiote kutu,haijalishi kama watakubali ama kukataa but changamoto inakuja kwenye kufanywa ATM mwe!!
toa uzoefu wako we unatongoza wangapi kwa siku?

Kwa hali ya sasa mi wala sitongozi, naringa ile mbaya maana wanawake ndiyo wananitongoza.
 
Back
Top Bottom