Hiyo dawa ni (natural) asilia na ina yafuatayo/ Montmorillonite - Wikipediahiyo dawa ina c kemikali gan..yaan ingredients
oo thanksHiyo dawa ni (natural) asilia na ina yafuatayo/ Montmorillonite - Wikipedia
Naweza kukuelekeza kwake
Bi zainab ni mtu poa sana
Udongo nimeuza na umeonesha matokeo kwa watu kadhaa .
Ukihitaji location niite tu.
Ulipaka mikebe sita? Hela ulirudishiwa?duh hii thread bado ipo?
Hebu gonga like kama na wewe ni mhanga wa bi zainab lakini bado uko na upara wako.
Unarefusha nywele za kipilipili? Na mie nautakaNina jambo zito, naweza kuja inbox?
unafuata proces za kutunza natural hair kisha unautia Huyo udongo kama steaming.Unarefusha nywele za kipilipili? Na mie nautaka
Mkuu, ina maana dawa haikusaidia? Nilipanga kumtafuta huyu.duh hii thread bado ipo?
Hebu gonga like kama na wewe ni mhanga wa bi zainab lakini bado uko na upara wako.
Nina Kipara na nimeshatumia bidhaa nyingi lkn wapi, bila shaka we ni muislam na ni ijumaa leo ndani ya mwezi mtukufu, unauhakika na hichi ulichoweka hapa, watu tumeshatapeliwa sana na vipara vyetu vikageuzwa mitaji aisee

Nipo tayari kukupa utumie bure bila kulipia senti tano, mpaka utakapohakikisha kuwa kuna mabadiliko na mafanikio baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay ndio utalipia.
Kama haijakusaidia na haujaona mabadiliko unarudishiwa pesa yako bila masharti.
Hii ni bidhaa pekee ambayo nipo tayari kukupa utumie bure kwa tatizo lako lolote la ngozi, utalipia baada ya mafanikio tu.
Kwa wale wataotaka watumie bure bila kulipia, wahakikishe wanakuja kwangu na wanitumia hii dawa hapa hapa kwangu ili nihakikishe kweli wanaitumia ipasavyo.
Na wale wasio na uwezo wa kumudu kuinunua ni bure na waje kwangu Sinza kuchukuwa wakati wowote wala wasisite hata kidogo.
Karibuni.