Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

bi Zainabu nakutafuta nijiunge na saccoss,
pia waambie wateja wa ubungo na mbezi bado nina super clay,kama nikiwa sipatikani waache ujumbe(sms)
au watumie 0714893685 ambayo pia ipo whatsapp
 
Sisi watalamu wa picha mbona hao ni watu tofauti... Msiibiwe jamani
 
Nipigie 0769302206
 
Sisi watalamu wa picha mbona hao ni watu tofauti... Msiibiwe jamani
Hilo tumelijibu mara nyingi sana. Pitia pitia post.

Tunakwenda zaidi ya miaka miwili sasa na product yetu hii unique ni wauzaji pekee wenye money back guarantee kama tiba haijakufaa.

Hatuna sababu za kuiba wala kudanganya. Umetumia maneno makali sana.
 
hahahahaaaaa dah kuna mijitu mijiz,,, kinoma,,hiyo picha ya kwanza na zifuatazo haziendan kabisa

Umetumia maneno makali sana ya kutuita "mijiz" bila hata ya kuwa na yakini na uyasemayo.

Hilo tumelijibu mara nyingi sana. Pitia pitia post.

Tunakwenda zaidi ya miaka miwili sasa na product yetu hii unique ni wauzaji pekee wenye money back guarantee kama tiba haijakufaa.

Hatuna sababu za kuiba wala kudanganya.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…