Unateseka ukiwa wapi?

Unateseka ukiwa wapi?

Hadi kufika umri huu zimepita June nyingi zikiambatana na baridi la kutosha lakini hatukufa pamoja na u-single wetu

Hopefully na June hii itapita, ikituacha tukiwa imara zaidi 🤗
tupo pamoja
 
njoo ukifika nicheki pm nikufate na subaru langu
Nomadix mkuu wachawi Ni wengi sana mjini, ila inategemea na aina ya uchawi.

c unamuona mwenzako uchawi wake ni Subaru, sasa ww cjui uchawi wako n upi 😂

Siku sio nyingi jamaa anakwenda kusikitika akiwa na naked kwenye Subaru 🔥
 
Back
Top Bottom