Unatamani nini. . . ?

mbege ya moto

Mbege ya moto unakunywaje bwashe? Kwanza unaipasha au inakuaje maana najua wakati wanakamua hua imepoa.

@ D. . .unataka anihonge leo alafu siku akininyang'anya nirudi kupigwa vikumbo kwenye daladala alafu?Bora niendelee hivi hivi.
 
mie nilitamani fish and chips,nimeenda kununua,baada ya kula nasikia guilty na huu mwili wangu sijui naelekea wapi...
 
Mi kila kitu shwari,moja baridi lingine moto,weekend inaenda vizuri ila kuna kitu nakimiss sana
 
mie nilitamani fish and chips,nimeenda kununua,baada ya kula nasikia guilty na huu mwili wangu sijui naelekea wapi...

dah asee neema.....! una mmmh unajua ni nini punguza minyama utaumia buree na mi presha...!
 
Mbege ya moto unakunywaje bwashe? Kwanza unaipasha au inakuaje maana najua wakati wanakamua hua imepoa.

@ D. . .unataka anihonge leo alafu siku akininyang'anya nirudi kupigwa vikumbo kwenye daladala alafu?Bora niendelee hivi hivi.

ukiwekewa ule uji wa ulez ikafunikwa na kigunia inakuwa ya uvuguvugu, sasa kwa hal ya kaubad ukigonga unaisikia
 
mie nilitamani fish and chips,nimeenda kununua,baada ya kula nasikia guilty na huu mwili wangu sijui naelekea wapi...

Kula sio kubaya. . . . muhimu utafute namna ya kuchoma hizo calories. Kua unafanya mazoezi kidogo. . .

Alafu kama ukijitahidi kula vyakula vya afya na kwa kiasi , ukaongezea na mazoezi kidogo ukila junk food mara moja moja haidhuru.
 
ukiwekewa ule uji wa ulez ikafunikwa na kigunia inakuwa ya uvuguvugu, sasa kwa hal ya kaubad ukigonga unaisikia
Mmmh sijawahi jaribu hiyo.

@Fynest kwani mama muuza hua anafunga?Ni kiasi cha kumgongea tu.
 
Natamani kuendelea kucheki hii mechi Ya real na Barca lakini Usingizi umenishika ile mbaya
 
Mmmh sijawahi jaribu hiyo.

@Fynest kwani mama muuza hua anafunga?Ni kiasi cha kumgongea tu.
Mama muuza Kongosho kaenda kwa Boss kwahiyo weekend yote hii imekula kwetu aisee...yule mama muuza wa Klorokwin nasikia Kloro kamuweka ndani siku si nyingi atatangaza ndoa
 
@Lizzy, hapa ntawaweza na hizi takaji za kimitego ivi.
Mie labda nipate kijiti cha Arusha nipulize tu asa ivi akili itakaa mahali pake.
 
The Boss anataka kitumbua cha usiku wa manane ntakipata wapi,mmie nauza gongo na vijiti tu

Back
Top Bottom