Unatamani nini. . . ?

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,821
59,422
Unatamani nini sasa hivi?
Mi natamani nyama ya kuchoma au kuokwa,iwe ya motooooo. Bahati mbaya sehemu ambayo naweza kupata ishafungwa saa hizi. Sijui kwanini hii hamu haikunijia mapema. . . . arrrrrg.
 
mimi natamani kukuona uko kwenye bifu na TF aaah.... nakutania bwana....! ila mimi natamani juice ya barrriiiiidi ya pineapple na tofauti na wewe ni kwamba ninaenda kuichukua kwenye fridge sasa hivi...! dah pole sana lizzy unajua ni nini yani kesho ukikutana nayo hamu nayo imeisha asee...! chukua vitz yako hapo uje maeneo ya kwetu huku bado watu wanagonga nyama mama....! tena electrocuted huwezi amini....! karibu kwetu.....!
 
Hehehe naona ushajifunza uchokozi tayari.

Dah nakuonea wivu wewe. Yani mi kesho hiyonyama hata sitokua na time nayo.Kama tu vicoka cola vyangu kwenye friji. . .wiki nzima nimetamani leo nikanunua alafu hata sina hamu tena.Ningekua na hiyo vitz mbona ningeshaenda kutafuta. . . mwenzio naogopa kupanda daladala usiku usiku nisije nikakabwa kabari bureeeee.

Usisahau kuenjoy juice yako. . . . .
 
Mi natamani nirudishwe 4 years ago, in a tent... hali ya hewa ilikua kama leo... yaani nimekaa hapa siishi kukumbuka na kutamani nirudi tena... :couch2:
 
Hali ya hewa ilikuaje RR? Rainy?Sunny?Hot?Cool?
Au ndo mambo ya kumkumbuka shemeji?
 
Hehehehe yeaaahh.

Haya turudi kwenye vitumbua.Hamna sehemu ubaweza ukapata saa hizi?Au we mtoto wa geti kali?

sio rahisi kwa saizi ukipate kitumbua kikiwa moto na kimeandaliwa
vinahitaji maandalizi ya mapema uletewe kikiwa na moto lol
 
Ohhh unajua unaweza ukafanyaje?
Next time ukiwa unanunua vyakula, nunua zile sambusa ambazo zimeshatengenezwa ila hazijakaangwa.Unaweka kwenye freezer siku ukitamani unadefrost alafu unakaanga.Hata kama ni usiku wa manane unaridhisha nafsi yako.
 
Unatamani nini sasa hivi?
Mi natamani nyama ya kuchoma au kuokwa,iwe ya motooooo. Bahati mbaya sehemu ambayo naweza kupata ishafungwa saa hizi. Sijui kwanini hii hamu haikunijia mapema. . . . arrrrrg.
natamani kukagua gwaride la maadhimisho ya siku ya uhuru pale uwanja ya taifa, na baadae kugawa nishani za mwalimu nyerere kwa viongozi wastaafu pale magogoni
 
Pole kwa kushindwa kufanikisha hilo.
 
Hehehe naona ushajifunza uchokozi tayari.

Dah nakuonea wivu wewe. Yani mi kesho hiyonyama hata sitokua na time nayo.Kama tu vicoka cola vyangu kwenye friji. . .wiki nzima nimetamani leo nikanunua alafu hata sina hamu tena.Ningekua na hiyo vitz mbona ningeshaenda kutafuta. . . mwenzio naogopa kupanda daladala usiku usiku nisije nikakabwa kabari bureeeee.

Usisahau kuenjoy juice yako. . . . .

ndio naiminya hapa na straw yani daaah so coooooooll:lol::lol:....! haha..! halafu hamu ya kitu ni mbaya sana...! usipo kua makini unaweza kujikuta kweli umetoka...! maaama kama unaogopa kukabwa bora usitoke...! lakini mbona kavitz hukataki mwenyewe tu...!? niliongea na tf akasema hata 5.0 sport yuko tayari kukuhonga sasa nashanga kwa wewe kujiliza tena wakati umeviacha mwenyewe bi shostito....!
 
Back
Top Bottom