Unatamani kuwaona akina nani humu?

Mi nimewaona 75% ya wapwa wote.....

Kiherehere...

Sitamani kuona mtu hapa...

Roho Mbaya

Karibu kwenye Mkesha wa Eid-El-Fitr.... tutakuwa na misa ya kuomba amani...ray2:ray2:ray2:

Unatumia kinywaji gani dada? Hick! hick! hick! Hebu ni PM tutafutane kwa msaada wa watu wa Marekani. Mi pia nakutamani sana kukuona!

:confused2::confused2:

finest ..............wengine humu si watu!

Ni...:A S-devil1::A S-devil1::A S-devil1:
 
mimi kwa vile mgonjwa mgonjwa natamani kuwaona Asprin na Quinine uenda nikawa The Finest.
Anyways itabidi siku tuandae party ya wana Jf bila kujali itikadi zetu za aina yoyote ile.
 
Mi napenda uanze na mm kuniona tuweke mambo sawa kabla hujapata dawa hizo.
 
mimi kwa vile mgonjwa mgonjwa natamani kuwaona Asprin na Quinine uenda nikawa The Finest.
Anyways itabidi siku tuandae party ya wana Jf bila kujali itikadi zetu za aina yoyote ile.
Mie naona Askofu atanibariki kwa baraka za Bwna.Hivo tuonane Baba askofu....
 
mimi kwa vile mgonjwa mgonjwa natamani kuwaona Asprin na Quinine uenda nikawa The Finest.
Anyways itabidi siku tuandae party ya wana Jf bila kujali itikadi zetu za aina yoyote ile.

:becky::becky::becky::glasses-nerdy::glasses-nerdy: Beauty bana, anywayz nakupa invitation ya Iddi
 
Kiherehere...

Roho Mbaya

Karibu kwenye Mkesha wa Eid-El-Fitr.... tutakuwa na misa ya kuomba amani...ray2:ray2:ray2:

:confused2::confused2:

Ni...:A S-devil1::A S-devil1::A S-devil1:

Askofu safari hautakuwa VATICAN?
 
mimi kwa vile mgonjwa mgonjwa natamani kuwaona Asprin na Quinine uenda nikawa The Finest.
Anyways itabidi siku tuandae party ya wana Jf bila kujali itikadi zetu za aina yoyote ile.

Hiyo avatar yako ina uhusiano wowote na physical appearance yako?
 
mwanakijiji,mkandara,es,kitila mkumbo,halisi,kichuguu,mwawando....................
 
Mimi.....wa kwanza kabisa natamani ikumuona "Superman" coz huyu jamaa huwa nasoma posts zake mara nyingi na muonekano wake unaelekea ki-superman kweli just like the superman himself......

Then ningependa kuwaona hawa: Aspirin, Nyani Ngabu, The Finest, Beauty.......mmh have always wondered ile avatar kama ina uhusiano wowote na muhusika......heee!

Pia; Firstlady, Invisible!! japo sijui kama hapo panawezekana..... Lakini kama ningepata nafasi ya kuwaona: Rev Masa na Fidel80
ningefurahi sana......:smile-big:
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…