Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,352
kaka hiyo korogwe usiombe upite weekend hata kwenye daladala unaiskilizia, siku moja nilikua napita na mshikaji wangu uzalendo ukamshinda akasema tushuke tukapige mnyama, safari yetu ikaishia pale pale!.
korogwe hapo iko fasta, haina kusubiri, dakika 5-10 kitu kiko mezani!, ila resort napapenda pametulia zaidi.
bwana ehh hebu rudini kwenye thread mnatutamanisha wengine jamani......