Kumleta chumba nyumbani ni kutoa taarifa au kuomba ridhaa?

Ultimate

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
713
1,738
Hili jambo halija kaa sawa,

Inakuaje mtu anakuja na mtu (mpenzi) nyumbani kumtambulisha, direct anasema huyu ndie mwenza nitakae kua nae

Hii ipo sawa??, kumpeleka mchumba nyumbani ni kwenda kutoa tu taarifa ili watu wajue, au kuomba ridhaa?? Maana ridhaa inaweza kukubaliwa au kukataliwa
 
Kiafrika Africa sio sawa! Utambulisho ni ule unaoambatana na kutajiwa mahari! Vinginevyo ni kuhalalisha zinaa!
 
Mpaka nakupeleka nyumbani means tumeshakubaliana yote.. we unasubiri ridhaa ya kutokea wapi tena jamani??

Tukishapelekana si ndio anapewa utaratibu wa mahari? Sjui ndo aanze kusogeza wajomba kutoka ushagoo wasogee town?

Em ngoja, subiri waje walio oa na kuolewa.
 
Mpaka nakupeleka nyumbani means tumeshakubaliana yote.. we unasubiri ridhaa ya kutokea wapi tena jamani??

Tukishapelekana si ndio anapewa utaratibu wa mahari? Sjui ndo aanzw kusogeza wajomba kutoka ushagoo wasogee town?

Em ngoja, subiri waje walio oa na kuolewa.
Anachoongelea mleta mada ni micharuko ya siku hizi inaleta bodaboda hadi kwa wazazi na kutoa utambulisho "dad! This is my boyfriend"
 
Anachoongelea mleta mada ni micharuko ya siku hizi inaleta bodaboda hadi kwa wazazi na kutoa utambulisho "dad! This is my boyfriend"
Kumbe??
Hiyo mbaya, hawa wamama zetu au kuna wamama wengine?
 
Wewe unaongelea utaratibu wa bongo movie.ila utaratibu wa kiafrica inapelekwa barua ya posa halafu familia ya binti inataja mahari,siku ya kupeleka mahari ndio siku muhusika mkuu unaonekana na ndio siku ya kumvalisha/kuvalishwa Pete ya uchumba.
Huo mnaofanya ni uhuni, uje kwangu ujitambulishe tu bila utaratibu na mimi kama mzazi nikubali tu? Itakuwa nimehalalisha zinaa.
 
Back
Top Bottom