unataka utoke wkend na mpoleeee?

unataka utoke wkend na mpoleeee?

Thank you! One of my dear friend in JF gave me that avatar when i joined JF and had no idea where or how to get one...lol
Oooowwww.... How kind of him... Hata mimi nilisaidiwa kuchagua hii yakwangu...
 
who is that?hashycool????lol

he he he he, mtanivunjia ndoa,nimeanza mwanzo mpya mnavyomtaja mnanirudisha kwenye zilipendwa mnaniumiza sana,kuanzia sasa mtu ukimtaja Hashy,unitumie na Vodka nijiliwaze na niweze kumuelezea wa sasa kwa macho yenye sura ya ukweli kuhusu Hashy...LOL
 
Sredi inakimbia balaa. Mpoleeee mbona hatupi fidibaki kama keshapata wengine tuwithdroo aplikesheni zetu
 
Oooowwww.... How kind of him... Hata mimi nilisaidiwa kuchagua hii yakwangu...

He he he, he is surely so kind...na ushamba wangu akanitoa kimasomaso Michelle...lol...he will forever be my friend at JF...lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
he he he he, mtanivunjia ndoa,nimeanza mwanzo mpya mnavyomtaja mnanirudisha kwenye zilipendwa mnaniumiza sana,kuanzia sasa mtu ukimtaja Hashy,unitumie na Vodka nijiliwaze na niweze kumuelezea wa sasa kwa macho yenye sura ya ukweli kuhusu Hashy...LOL

pole saana
na hashy nae anasema hivyo hivyo....lol
 
Sredi inakimbia balaa. Mpoleeee mbona hatupi fidibaki kama keshapata wengine tuwithdroo aplikesheni zetu

Silence means YES bro,sisi ndo tunaendeleza thread hapa,yeye anakula raha....ndo raha ya kusema unachokitaka hadharani...lol
 
we jifanye unajua vijembe. wapi nimesema uhusiano? hasira mpelekee mmeo alokupa huo ujauzito sio mimi, tena unikome. pumbavu zako.

Naona sasa umekosa hoja.
Mambo ya mume na ujauzito yanatokea wapi? Ulimuoza wewe?

Wakati mwingine mtu ukiona umeshindwa siutulie tu. Sio lazima uropoke hata mambo yasiyo maana, unapunguza heshima kama uliwahi kuwa nayo.
 
Aaaah kwani unadeskmates wangapi?
thanks mi mwaka mpya umeenda vizuri,heri ya mwaka mpaya na wewe,sijui unaenjoy vipi huu mwaka!
Deskmate alinambia atakuja karibuni ila naona kafunguliwa thread ya get well soon.
Niongee na wewe bila kukuona? ulipotea sana siku hizi za sikukuu. Habari ya mwaka mpya?
 
Wabongo hawapendi kufikiria, wanapenda mijadala isiyo na maana.

Dearest,loh.....!! wenzio hatuna hela za bia na vi-bar vyetu vya uchochoroni ukitoka kunywa soda upate na burudani unarudi na vipele mwili mzima (mbu),tumeamua tununue modem tukae JF,tuburudike, huko si kufikiria dearest?? we are having the type of fun that is affordable and safe healthwise....ila tunafikiria dearest!!
 
He he he, he is surely so kind...na ushamba wangu akanitoa kimasomaso Michelle...lol...he will forever be my friend at JF...lol
Lucky him!
kuna mtu aliweka picha za huyu actress kule jukwaa la wakubwa nikasikitika sana... But nampenda tu. vile alivyo nampenda tu.
 
Yeah Uko mji gani ...Mpole?
Miji iki tag basi itakuwa bomba
 
Aaaah kwani unadeskmates wangapi?
thanks mi mwaka mpya umeenda vizuri,heri ya mwaka mpaya na wewe,sijui unaenjoy vipi huu mwaka!
Mi nina deskmates wawili tu. wa kushoto (wewe) na wakulia (klorokwini)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom