unataka utoke wkend na mpoleeee?

unataka utoke wkend na mpoleeee?

Mshaharibu uzi huu, Mpoleeeeeeee weeeee njoo basi wanaendelea kuharibu huku, tunaendelea kutuma maombi. je umeyapata?
 
That is my sensitive and considerate AD, reminding me of my past while i took sometime off to heal....only to be back and reminded of him by my friend...so painful...lol

ohhhh dear , we will never ever stop talking about you two .. ( You know that)..
you and H perfect couple of the century and good role model for every couple out there..
i was a brides mate. TF best man .. ahhh ahhh ahhh no way i'm gonna let this go so easy ..
 
Huyu dada ni actress mzuri tu, nashani rafiki yako alikusaidia kwa nia nzuri.
Ila sasa sijui ni photoshop, au sijui alianguka tu mara moja, ila kuna picha kule jukwaa la wakubwa zinamuonesha akikaa vibaya.

Kuna kuanguka kwenye haya maisha, yawezekana ni photoshop, dunia ina mengi....acha nizidi tu kuipenda hii avatar yangu...lol
 
Huyu mpoleeee, Radhia Sweety, na mwita25 wanajua sana kushika akili za watu humu lol. Hata yule Zinduna naye hivyo hivyo.

Yaani unakuta watu wamekomaa kweli kweli kwenye sredi zao :lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:

Wamekamata akili yako pia NN?
 
Asante dearest....yaani nilikuwa nimeshaaga kabisa hapa sijui nafanya nini hadi saa hii?? JF bwana ndo maana nakimbiaga wakati mwingine...lol

Hahahaha. . . ndio umeshakamatwa akili hivyo dearest. Inabidi uwaombe wenye moderm wawe wanaifunga ikifika saa nne, hata ukitamani vipi unakosa access. . .lolz
 
Doto usiumize kichwa ..
Mwenzio nimechoka kucheke sasa hata simjibu tena.
maana ananiahidi vitu hatimizi.. ahaa nangoja kwa hamu anileweshe ...
achana nae bana..
Yeah ngoja tumpotezee mwaya.

Alafu we nawe sijui ni usanii au nini, ile hadithi ya "little cute RED dress" iliishia wapi?
 
Huyu mpoleeee, Radhia Sweety, na mwita25 wanajua sana kushika akili za watu humu lol. Hata yule Zinduna naye hivyo hivyo.

Yaani unakuta watu wamekomaa kweli kweli kwenye sredi zao :lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:

Wanazishikaje?
 
Michelle nimeipenda sana signature yako. Hongera sana

I understand that God did not put in me the ability to always make right decisions. He did,however put in me the ability to make a decision and then make it right. My mind will live in the solution of the future.
 
ohhhh dear , we will never ever stop talking about you two .. ( You know that)..
you and H perfect couple of the century and good role model for every couple out there..
i was a brides mate. TF best man .. ahhh ahhh ahhh no way i'm gonna let this go so easy ..

he he he, determined to destroy what i have now,huh? ha ha haaaaaaaaaaaa......couple of the century and role model!!
I actually can not believe me and him are history....life has a lot of surprises,i did not exepct this but, have accepted it and am happy....lol...share my happiness please!!
 
Sijambo AD, nawe mzima? Unaendeleaje?

Mi niko fresh tu captain..
nimesikia superstar ( B & J ) wa huko nyanda za juu kajifungua..
News hiyo si kubwa sana maeneo haya.. Vipi zinavuma sana huko?
 
Wamekamata akili yako pia NN?

Nope...mara nyingi huwa na observe tu back and forth za watu. Kwa mfano ile sredi ya Radhia earlier this week kuhusu uzuri wake. For all people know, Radhia could very well be a man.

And some people were like...you go on girl....if you got it flaunt it lol. It's all good though..it provided some comic relief to some of us.
 
Hahahaha. . . ndio umeshakamatwa akili hivyo dearest. Inabidi uwaombe wenye moderm wawe wanaifunga ikifika saa nne, hata ukitamani vipi unakosa access. . .lolz

Sasa after saa nne ndo wapendwa wanakuja,itakuwaje?? Hunipendi dear,we wataka mi nishinde mchana hapa na Radhia na Mpolee tu???
 
ohhhh dear , we will never ever stop talking about you two .. ( You know that)..
you and H perfect couple of the century and good role model for every couple out there..
i was a brides mate. TF best man .. ahhh ahhh ahhh no way i'm gonna let this go so easy ..

AD mbona mimi ndo nilidhamini harusi na hujanitaja....dah....
umesahau H mimi ndie his best advisor?muulize Michelle....yaani i am more broken heart than you...lol
 
Wanazishikaje?

Uliona sredi ya Radhia siku ile? Uliona ilifikia page ngapi na katika span gani?

Na ushaziona sredi za Zinduna? Kuna moja alianzisha kuhusu date yake.....heheheheheee hilarious stuff.
 
Michelle nimeipenda sana signature yako. Hongera sana

I understand that God did not put in me the ability to always make right decisions. He did,however put in me the ability to make a decision and then make it right. My mind will live in the solution of the future.

Asante sana BAK....!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
...Nafurahi kusikia hivyo AD. Paparazzi na Mamarazzi watakuwa so busy kutafuta picha ya kwanza ya binti B & J. Atakayefanikiwa anaweza kujipatia $5m ya haraka haraka au hata zaidi lakini Baba na Mama nao watajitahidi kadri ya uwezo wao kuificha sura ya mtoto wao mpaka pale watakapokuwa tayari kuionyesha kwa Walimwengu.

Mi niko fresh tu captain..
nimesikia superstar ( B & J ) wa huko nyanda za juu kajifungua..
News hiyo si kubwa sana maeneo haya.. Vipi zinavuma sana huko?
 
Nope...mara nyingi huwa na observe tu back and forth za watu. Kwa mfano ile sredi ya Radhia earlier this week kuhusu uzuri wake. For all people know, Radhia could very well be a man.

But some people were like...you go on girl....if you got it flaunt it lol. It's all good though..

yaani wewe na mimi vichwa vyetu vinafanana....
nilihisi hivyo kuwa labda ni male
na hizo id unazotaja.nilihisi humo humo ..funny...
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom