Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Mkuu mimi nipo najitongozea hapa mpoleee, mtu mwingine anakurupuka huko kitandani aliko na kuanza kuniletea maneno ya ubabe. hivi hayo maneno anaweza mwambia mmewe? bora hata angeongea mpoleeee ningemuelewa sio hawa viruka njia. mi hata silijui hili lisichana. naliona ona tu. ngoja nilale zangu. Mia
Mia taratibu ehh, pacha wangu huyo.