unataka lift?? karibu...:)

hugo baha ndio safari wa uhakika baha... lol!
 
Mie huwa na wasi wasi sie mabonge... yaweza faint! lol
 
Vipi wamelipa TRA kweli hawa? huu usafiri sidhani kama una kibali cha mamlaka ya usafiri.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…