Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,958
Hii mind setting wangekuwa nayo viongozi wa Africa tungekuwa mbali sana
Hii mind setting wangekuwa nayo viongozi wa Africa tungekuwa mbali sana
Kwa huko nyumbani inatakiwa uwe Kiongozi kisha uwe Mwizi au Fisadi ndio inapendeza mkuu babacollinsHuku kwetu kua kiongozi ni kujitajirisha. Na usipofanya hivyo utaonekana mjinga na watakaokupenda zaidi watakuja kukupa makavu laivu kua wewe ni mjinga.