Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,402
- 114,843
Ila tuliopo ndio sisi wa nyumba za wenyewe, no palace wala crystal palaceAtakayejenga Palace halafu mimi ndo niwe Queen.
Ila tuliopo ndio sisi wa nyumba za wenyewe, no palace wala crystal palaceAtakayejenga Palace halafu mimi ndo niwe Queen.
Imani yangu husema kua Mungu atanipatia kile kitakacho ni stahili zaidi Kwenye hofu ya Mungu na awe na heshima /tueshimiane Mengine hakuna aliekamilika tutarekebishaMpendwa taja kila kitu, kwa mfano...
Urefu wake, rangi yake, lugha yake, elimu yake, wadhifa wake kazini, mwenye dimples, utu wake, hobbies zake, maadili yake, umri wake, nk.
Hayo utakayoyataja yawe ni maombi yako ya kila siku, nakuhakikishia utapata huyo mwenye sifa uzitakazo.
Maombi yako kwa Mungu wako yawe mahususi, maana maombi yasiyoeleweka huwa hayana majibu sahihi.
Kumbuka imani ni kuwa na uhakika kwa mambo yatarajiwayo, bayana na yasiyoonekana - Waebrania 11:1
Imani ina mrejesho mzuri, imani ni matumaini, imani inahitaji tamaa yenye nguvu.
Andika kwenye karatasi sifa 10 unazozitaka awe nazo mumeo mtarajiwa, zibandike kwenye dressing table yako chumbani kwako, halafu kila siku zisome na umwambie Mungu akupe huyo handsome wako mwenye sifa uzitakazo.
Mtegemee Mungu atajibu maombi yako.
Nasubiri shuhuda zenu mabinamu.
Mbarikiwe
Endelea kuombea list yako ipo vizuri.Imani yangu husema kua Mungu atanipatia kile kitakacho ni stahili zaidi Kwenye hofu ya Mungu na awe na heshima /tueshimiane Mengine hakuna aliekamilika tutarekebisha
Ila tuliopo ndio sisi wa nyumba za wenyewe, no palace wala crystal palace
Palace mmejua nimemaanisha nyumba?Hata palace ya mbao?
Hujamaanisha nyumba ila tupo sisi wa nyumba za kupanga tumekaa pale tunawasubiri.Palace mmejua nimemaanisha nyumba?
Aya vyema!
hapana .. mi nimejua hiyo hiyoPalace mmejua nimemaanisha nyumba?
Aya vyema!
Kweri chief et😂Endelea kuombea list yako ipo vizuri.