Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,214
- 50,188
🥰🥰Tulishaomba tukapewa 🥰
🥰🥰Tulishaomba tukapewa 🥰
Hebu acha kuchelewesha watoto kwenda shule, natafuta mke wa tatu ila sharti atokee JF. Njoo tuyajengeHivi nikiandika awe anahema na maokoto yapo itakuwa ni dhambi?
Yaani toka nilivyoachwaga mwaka ule sijawahi kuwaza mapenzi Tena.. It's all about money😃😂, Najiulizaga au Mimi wakiume na sijui🤔🤔Hauna 'type' mkuu kama wenzako?
Au unataka kuolewa na kipensi komando?
Niko napambana kumalizia langu hapa..., Labda useme umepungukiwa shingapi nikujazie kwenye lako uanze😃Njoo tu tuive chungu kimoja. Ntakujengea na kasri [emoji7]
Hata palace ya mbao?Atakayejenga Palace halafu mimi ndo niwe Queen.
Mi acha nijipendekeze pendekeze unaweza ukanionea huruma niwe naishtua shtuaYaani toka nilivyoachwaga mwaka ule sijawahi kuwaza mapenzi Tena.. It's all about money😃😂, Najiulizaga au Mimi wakiume na sijui🤔🤔
Kwanza hata najua huruma ni nini nowdays 😃😃..Labda uje na business idea,,Mi acha nijipendekeze pendekeze unaweza ukanionea hurum
Sitaki hela za mwanamke, ninazo zangu.Niko napambana kumalizia langu hapa..., Labda useme umepungukiwa shingapi nikujazie kwenye lako uanze[emoji2]
Haya hongera.. utapata wa kutumia nae, weka tu dau lako hata humu watapatikana waolewajiSitaki hela za mwanamke, ninazo zangu.
Ahahahah...hamnaa.acha niendelee mdo mdo hiv hiv utajaa tu. Na ukijaa mi sikupi biznes idea..nakupa pesa tuuuu ushindwe wewe..Kwanza hata najua huruma ni nini nowdays 😃😃..Labda uje na business idea,,
Sinunui wanawake, sipaswi kuweka dau.Haya hongera.. utapata wa kutumia nae, weka tu dau lako hata humu watapatikana waolewaji
Basi sawa andika maombi kama alivyosema Kambi ya FisiSinunui wanawake, sipaswi kuweka dau.
Kama unazihurumia hela zako sikushauri😃😃Ahahahah...hamnaa.acha niendelee mdo mdo hiv hiv utajaa tu. Na ukijaa mi sikupi biznes idea..nakupa pesa tuuuu ushindwe wewe..
Watoto wazur cha kuwahangaisha na ma biznes nini??
Come beb...😋 I'm here...😊Mitaa ipi alipatikana tupite pite huenda tukapata na sie🤣🤣
Hela za kwangu wewe toa tu ushauri wa namna ya kuzitumia tukila bata ushauri mwingine wa kubana matumiz ya hela zangu mwachie muhasibu wangu.Kama unazihurumia hela zako sikushauri😃😃
Wacha weeeHela za kwangu wewe toa tu ushauri wa namna ya kuzitumia tukila bata ushauri mwingine wa kubana matumiz ya hela zangu mwachie muhasibu wangu.
Kwanza nakutoa huko uliko uje Tanzania utoke huko uhamishon
We tulia uone..endelea tu kunikazia ila utalegeza tuWacha weee
Haya Niko hapa na🍿🥤.. kusubiri hiyo siku ijeWe tulia uone..endelea tu kunikazia ila utalegeza tu
Naona unajipigia debe😂Tafuta mchaga mkuu, wanakuaga na roho safi wale jamaa
Situmii nguvu mkuu taaratibu....Naona unajipigia debe😂