Unataka kujifunza programming?

Unataka kujifunza programming?

Ninahitaji kujua watu wangapi wako interested kujifunza programming na ambao wanahisi wakielezwa kwa kiswahili is better kuliko kiingereza. Kama ndio tupia hapa ungependa kujua nini.

Nafikiria kutengeneza Youtube series kwa kiswahili ambayo itakua na playlists mbalimbali zitakazo waintroduce watu kwenye concepts za Java, Android Programming, C++, C, Javascript, Datastructures, common algorithms, Swift n iOS Programming, na ikiwezekana kutengeneza full apps kuanzia mwanzo kabisa hadi completion.

Nafikiria kuifanya kama weekend project ambapo every weekend nitaupload few videos polepole kama itaendelea it will probably take a year or more kumaliza playlists zote hapo juu, sema nataka kujua kama kuna audience even if its 100 people, najua english tutorials zimejaa.

Ukijibu ingependeza ukisema unataka nianzie wapi, kama huna experience kabisa au hujiamini hata kidogo unaweza sema hujui mi ntajua kua unataka nianze mwanzo kabisa kwenye basics
 
Duh! Nilitaka kufanya hiki kitu kwa muda, tatizo ni kwamba huwa sijiamini sana kwenye Kiswahili changu cha hapa kwetu Kenya. NullPointer ubarikiwe sana na Mungu, najua utakua umetumia nguvu nyingi sana kufanikisha hii shughuli, naomba wana jamii mtie subira na kumpa nguvu.

Nimetaka sana kunufaisha jamii, haswa mitaa ya huku Nairobi, kwa kuwafundisha vijana programming kwa lugha wanayoweza elewa vizuri. Inatia moyo kuona kuna mdau ameanza, hii iwe changamoto kwa programmers wote wanaopita humu, kwamba hamna haja ya kwenda kaburini na maujuzi yote haya bila kuachia walau vijana kadhaa wanufaike na kuendeleza.
kati ya comment chache za MK zenye mashiko.. kumbe sometimes u are a gentleman.. keep it up.
 
Mkuu sio kwamba nimewasahau, nina project imenikeep busy sana nakimbizana na deadline, nikiwa poa naweza nikaanza.
 
Ninahitaji kujua watu wangapi wako interested kujifunza programming na ambao wanahisi wakielezwa kwa kiswahili is better kuliko kiingereza. Kama ndio tupia hapa ungependa kujua nini.

Nafikiria kutengeneza Youtube series kwa kiswahili ambayo itakua na playlists mbalimbali zitakazo waintroduce watu kwenye concepts za Java, Android Programming, C++, C, Javascript, Datastructures, common algorithms, Swift n iOS Programming, na ikiwezekana kutengeneza full apps kuanzia mwanzo kabisa hadi completion.

Nafikiria kuifanya kama weekend project ambapo every weekend nitaupload few videos polepole kama itaendelea it will probably take a year or more kumaliza playlists zote hapo juu, sema nataka kujua kama kuna audience even if its 100 people, najua english tutorials zimejaa.

Ukijibu ingependeza ukisema unataka nianzie wapi, kama huna experience kabisa au hujiamini hata kidogo unaweza sema hujui mi ntajua kua unataka nianze mwanzo kabisa kwenye basics
Mkuu we anzia mwanzo mpaka mwisho... mi nataka kujua kila kitu
 
Tupo wengi ambao hatujia kabisa
 
M niko tayari hasa katika upanda wa desgn ya website app na program mbalimbali za simu au pc
 
language gani nzuri kushinda zote me ndo naanza na java nimeipenda sabab ukikosea inakuonyesha
 
Back
Top Bottom