Why not Choose Python or R Over Cpp cause, python has lot of Scienific Libraries(SciPy, numpy) ambazo ukisema uziandike in Cpp itakuwa ni Haed Ache. Pia siku Hizi most dataset ambazo unaweza Uka mine zinakuwa na API(eg World Bank) in python au R rather than cpp.Machine learning naitaji mm using cpp
Mkuu ukiweza kuiweka kwa blog yako itakuwa rahisi kufuatilia. halafu ukawa unajibu queries kwenye comments.
Ningetaman sana ungeanza na Python mkuu.
weedend ipi mkuu..wanafunzi tupo tayariMkuu nipo, nimesema kabisa pale juu kua nitaanza na C basics kuanzia weekend.
nadhani hujachelewa bado mkuu.. mnaweza fanya kitu cha aina moja but katika namna tofauti.. au mfanye partnership kabisa.. tuna pengo kubwa sana kwenye upande wa IT experts while dunia inatuvuta shati tuwepo huko hata kama hatutaki...Wazo zuri sana, nimewahi jaribu kwa kuandika through blog, likanijia wazo la video kama hivi... Ila naona ushaniwahi.... Kweli ngoja ngoja inaumiza matumbo... Tafadhali fanya hivyo tunahitaji watu waelewe programming sana bongo na inawezekana, nashauri uanzie mwanzo kabisa, inagawa changamoto itabaki kwenye tafsiri halisi ya maneno ya computing.