Nahitaji kuwa software developer.
Kutokana na kukosa loan ya kusoma computer science mwaka 2014 chuo kikuu (Maana A-leo nilipata sponsorship, na kusomeshwa na mtu private, ndo maana sikuwa considered katika kupewa mkopo) nimeamua mwaka huu kusoma OPEN UNIVERSITY Bs. ICT maana ntakuwa na muda wa kutafuta ada ya chuo.Sasa nina maswala kadhaa nahitaji msaada.
1. Bs.ICT inaweza kunipa solid skills za programming?
2. Ninahitaji kujifunza kutengenenza web based systems kwa kutumia PHP, je nianzie wapi as a begginer?