Unataka kujifunza programming?

Unataka kujifunza programming?

Fanya ivo bro. Tena anzia beginners level kwa kiswahili
 
Wazo lako ni zuri sana mkuu.

Sio lazima hata utusaidie wa humu pekee.

Hata wadogo zetu tunaweza kuwapelekea hizo videos wakajifunza.

Nakushauri anzia mwanzo kabisa kwa wale newbies.
 
Itasaidia sana mkuu' fanya hivo maana YouTube videos za wahindi zimejaa na English yao mangamu ngamu zinasumbua sana vijana
 
mi nipo tayari ila sijui kila kitu nipo tayari muda wowote kwa mafunzo
 
Back
Top Bottom