Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
I'd yako inanitia mashaka na kazi unayojitangaza!Mini fundi wakupaua mitindo yote ya kisasa, naenda sehem yoyote kwa atakae nihitaji hatakama ni nje ya nchi nikihitajika naenda kikubwa fedha. mawasiliano 0765 156 828 na 0654 234 344 kalibuni sana
kiongozi kama vp weka kazi zako hapa tuone iashara matangazo. ziwe kweli zako lakini
I'd yako inanitia mashaka na kazi unayojitangaza!
I'd yako inanitia mashaka na kazi unayojitangaza!
Mkuu ni PM nyumba ukubwa 12x12.
Weka bei yako kwa size za Nyumba tofauti ili tujue kama upo nafuhu au la.