Unataka heshima? Waheshimu wengine kwanza


Very true words,tatizo bado nipo Analogy ngekugongekea like apo tehteh
 
Nimeishia Kucheka tu,mama Ngaiza hata ukimwambia umependeza kwake ni unyanyasaji qa Kijinsia.Khaaaaa!!!!!labda aambiwe na mwanamke mwenzie

kumbe tupo wengi tuliopitia kwenye mikono yake??
Binafsi mie nafkiri nilikuwaga binti pekee ambaye nilikuwa napingana naye sana kwenye misimamo yake na adi nikamwambiaga ivi kwann nyie women activist always ni loosers?
manake kama msingeona umuhimu wa wanaume why marrying and divorcing, ungekaa tu kama single ingeleta maana zaid. Eti ooh there are times a woman needs to have kids so what??................kama humtak mwanume nenda kapandikizwe mbegu kwa Prof Kaisi basi......................lkn ata mbegu zenyewe bado zatoka kwa mwanume...

yaani darasan alikuwa hapendi wanaume acha tu................

But am telling you kuna aina ya wanawake wanaharakati wa kike ambao wanataman siku moja watu waka emaabara wagundue artificial sperm ambayo inaweza kuwa crossed na ova ikaleta mtoto ama basi wagundue CHROMOSOMES tu ambazo zitaweza kuwa crossed na za mwanamke ili zilete mtoto.
 
Player aliyebadilika.....saa hizi anataka wanawake wenye heshima zao....lol....gotta love Sheldon aisee,ametulia
Si unaona ehhh halafu akipenda dogodogo!!Kama raylee ha ha ha :lol::lol::lol::lol::lol:
 

Hivi ni yule wa UDSM anazungumzwa??? kama ni yeye...Yule mama ana dharau tu ila alikuwa ana mahusiano hadi na wanaume wadogo sana kwake,umuhimu wa wanaume hautawahi kuondoka hata hizo artificial sperm zikiwepo....presence yao kwenye maisha yetu ni zaidi ya mbegu za uzazi na kibibi kinajua hilo.....mimi nilikuwaga naona kachanganyikiwa....I miss gender Unit though...lol....kuwa submissive,kuna raha yake kama mtu anakupenda,sijui kinamshinda nini au ni elimu yake?? Kule Business school atleast wameolewa wengi, tulikuwa na role models wa tofauti....lol
 

ndo uyo uyo yaani sijui nini kilimsibu kwakweli. nafkiri ni kweli alikuwa kachanganyikiwa sio mzima.Ukwlei ni kwamba for a woman to submissive ni njia pekee yakuonyesha wisdom. Kuna muda mwingine ukikaa kimya unajionea mambo ata kama yalikwa makubwa yanapita tuu.

Kuna siku moja nilikuwa nangalia filam za kibongo kwenye basi inaitwa Chausiku iyo filam yaan huyo mdada (chausiku) ni full ubabe hana pakuwa mpole wala nini kama vile kachanganyikiwa sasa ikatokea akapata mchumba. Huyu mchumba akamtafutia trainer ili amtrain kuwa mtulivu lkn chausiku mwenyewe sasa aliwaka kama moto wa kifuu. Ukweli ukitizama ile filam utagundua kwamba upole, unyenyekevu, heshima ni hulka sahihi ya mwanamke
 

Preach,...have a name,have a name!..
 

Ni kweli kabisaaa,kuna mengi yakufaidi ukiwa mpole,mnyenyekevu na mwenye heshima kwa mwanaume sahihi....na nilichokuja kugundua ile sentensi ya kuvipa vitu muda ina maana kubwa sana....hakuna watu wazuri kwenye kujirudi kama wanaume.....atafanya afanyalo,ukitulia isivyo kawaida au ukajiweka pembeni kidogo akili itamrudi na atajua cha kufanya maisha yaendelee....ubabe unamfaidisha ibilisi ambaye saa nyingine hata hakuwepo....lol
 

ndo.mana nikaweka neno kidding lol afu kuna ujumbe wako jukwaa la mapicha picha
 

Preach,..Have a name,..have a name.
 
ningepewa nafasi ya ku elezea mstari wa biblia
"wanaume wapendeni wake zenu, wake waheshimu waume zenu".
ningesema
"kama ilivyo ngumu mwanume kumpenda mwanamke ndo ilivyo ngumu mwanamke kumheshimu mume.."
au
"mwanaume huthamini heshima kuliko mapenzi, kama alivyo mwanamke kuheshimu mapenzi kuliko heshima"

inatupasa kufanya wajibu wetu.
 

Kunabinti mmja alianza kuongea maneno ya kejeri,kiburi na ubabe..nikamtema kimya kimya coz sipendi kelele.Soon akaanza kuomba msamaha lakini nikamchinjia mbali.Huwa sipendi zarau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…