Unataka heshima? Waheshimu wengine kwanza


Aiseeeeh! Aksante kwa kuniwezesha kusoma maneno yanayoupendeza moyo wangu.
 
hizi busara zako zinanifanya nifikirie kuongeza mke wa pili..can u plz be my second wife??..ukikubali ntakuzawadia meli na bahari yake

Nope...I want to be someones first choice and priority....
 
Babu Asprin yuko very overprotective na wajukuu zake na usifanye masikhara atakufanyia kitu mbaya lol....

Tell him yooooo. Am gonna kill him yooooo.

Chinekeeeeeeee......
 
Last edited by a moderator:


A real woman of virtue need to have class.gorgeousmimi
Hahaha siku hizi naona unatusomesha vizuri na mada zako.
Siyo kwamba sehemu zingine sijazikubali , ila huo mstari una ujumbe mzito Sana kwa wanawake aseeeeeh, napenda Sana mwanamke anayetambua thamani yake , anayetambua heshima ni nini , majibu wake na haki zake na asipozipata adai vipi.
Nje ya hapo unaonekana takataka , mchafu n.k.
Mwanamke kujitambua ni muhimu.
 
Ahsante asakuta same....maisha ni safari ndefu ya mwanaadamu na sina budi kusema tunajifunza vitu vipya kila kukicha ni kweli nimejifunza,najifunza na nitaendelea kujifunza kila kukicha kupitia kwenye makosa yangu na ya wengine na experience ya maisha haya.What we all need is inspiration and i have achieved that!Ahsante kwa mchango wako kwenye uzi huu!
 
Last edited by a moderator:

Ahsante kwa mchango wako kwenye uzi huu dada yangu,nasema dada yangu kwasababu umeongea kama yeye.Umetunukuu wanawake jinsi tulivyo na wanaume jinsi walivyo na ni kitu ambacho walio wengi hawakitambui.Ni matumaini yangu wengi watajifunza kitu kupitia kwenye mchango wako!
 
Long time ago someone says...“if the mothers ruled the world, there would be no Goddamn wars in the first place"....
I think she was talking about this kind of mothers.... Love u mpaka Basi gorgeousmimi
 
Last edited by a moderator:
Respect is not given, its earned.

Kila mtu angeelewa hilo tungeheshimiana kwa msingi wa kwamba nnaetaka aniheshimu hawezi kuniheshimu kwasababu tu natakama aniheshimu. Ama kwasababu namlazimisha kwa kipigo ama maneno kuniheshimu. Sio wanaume wala wanawake, kila mmoja amheshimu mwenzie ili nae aheshimiwe.

Pia heshima inahamasisha upendo. Ni ngumu sana kumpenda mtu usiyemuheshimu na ni ngumu zaidi kumpenda mtu asiyekuheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…