Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Hellow wapendwa wangu,
Leo tukumbushiane kuhusu heshima.Mwanamke/mwanaume unataka kuheshimiwa jiheshimu.
A real woman of virtue need to have class. Being all trashy,nasty,wild and rude with your big mouth wont make you earn any respect from men actually they will look so down low at you and despise you.
Kama unataka kuargue,argue kwa hoja na ujumbe utafika na kama ni wakusikika utasikika.Nimejifunza kitu kimoja maishani na katika kazi zangu unataka usikilizwe be humble, jinsi unavyowakilisha na kutoa ujumbe wako matters a lot.
"You want people to respect you,respect them and be a good listener"
Hata kama mwenzi wako akikutukana hupaswi kufungua mdomo wako kumtukana. Dada yangu anasema nyamaza kimya,mwanaume si mtu wa kutukanana nae atakudharau na akudhalilishe ujute,na kipigo utapewa juu.
Na wanaume jamani tafadhali mpunguze jazba na nyie mjitahidi kuwa humble, hizi commands and orders si nzuri kwa kweli. Hakuna mtu anayetaka kupelekeshwa ka punda. Tutumie nyama zetu za ulimi ipasavyo.
Wasalaam gorgeousmimi