Mkuu nisaidie nyimbo ya kamalee -sensema(Tabora jazz)yaani ungejua hata mwimbaji tu ingeisaidia
natafuat wimbo mmoja siuju jina ila una imbwa hii ''nalilieoo mama nangayeye ...mamaa nalelioooo''Huu ni ukrasa maalum kwaajiri ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa. Pia bongo fleva za zamani ni mahara pake pia. Karibuni sana. Hakikisha jina la mwimbaji, bendi na jina la wimbo viko sawa.
kibinda nkoi jaribu huoMkuu Roga roga naomba nyimbo 'ekibinda nkoi' sijui aliimba nani miaka hiyo na nyingine ktk albam hiyo. Pia naomba nyimbo za Nasma Khamis Kidogo kama vile 'Achia ngazi bibi mchuma unaondoka huoo' na nyinginezo. Pia naomba wimbo wa Mbaraka Mwinshehe 'Tabia njema ni silaha'
Naomba kama kuna mwenye nyimbo za EXTRA MUSICA Ktk albam yao ya ETAT MAJOR tafadhali naomba azitume hata kama zote