matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,462
- 23,246
Moja ya kiumbe mwepesi kumuangusha katika vita ni mwarabu. Kwa sababu ni Rais kumnunua na kumtumia KUWA Adui wa NDUGU zake. Hii ndio maana maagents wa mossad walikuwa kwenye kazi maalumu KWA miaka mingi kufanikisha HIKI kinachofanyika ndani ya Iran.
Iran itapigwa kirahisi sana kisha itafuatia anguko la Serikali hii ya hayatollah, watakuja wadau wengine ambao watakuwa na msimamo wa kawaida kama wale kabla ya wakina hayatollah hawajachukua nchi.
Nini unadhani itakuwa hatma ya vita hii.