UNASWERED: why only! Zitto, Mrema na john cheyo?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UNASWERED: why only! Zitto, Mrema na john cheyo?!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AdvocateFi, Apr 15, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  " karibu asilimia kubwa ya bunge letu limejazwa na wabunge wa CCM ambapo kutokana na hali hii huwawia vigumu sana viongozi wa upinzani bungeni kupata nafasi za juu za uongozi ktk bunge mfano uspika, na uenyekiti wa kamati nyeti bungeni mfano ni pale ambapo mabere marando alipogombea uspika na kuambulia patupu!
  Nahitaji mchango wenu wana JF why zitto kabwe,augustine mrema na john cheyo ndio waliofanikiwa kupata kura hata kutoka kwa wabunge wa ccm na kupata fursa za uwenyeviti ktk kamati nyeti za bunge?!"
  Mchango wako ni wa muhimu kwani utasaidia na viongozi wengine wa upinzani kama lissu, mnyika, mbowe etc ktk chaguzi zijazo za bunge ili na wenyewe waweze kupata fursa hii kama ya hao wenzao wakina zitto pia utaweza kumsaida kamanda komu ili aweze kushinda kwenye uchaguzi wa mbung E.A kutoka upinzani.
  Solidarity forever'
   

  Attached Files:

 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,562
  Likes Received: 3,858
  Trophy Points: 280
  Dear shardicole,I am happy that you have asked the open question with so hidden agenda, simply because you know nothing about bunge!!! hapo tu umeaibika

  Pili tafuta thread za kamanda Regia (RIP) atakueleza namna nafasi ya zitto ilivyopatikana na ugumu wake

  tatu, leo hii Zitto anavyoifanya kazi kwenye ile kamati haijawahi tokea nchi hii.... na sifa zinaenda kwa chama, achilia mbali akifanya kazi ya kulijenga taifa bila itikadi

  najua una ugonjwa wa Zittophobia

  tunashindwa kukusaidia wakati tayari uliishasema HAUMWAMINI KABISA, lengo la hii thread ni ili umuamini???

  kumbuka below are some of your comments regarding Zitto, swali unalouliza hautakuja na comment kama hiz hapa chini??
  1.
  2.

  3.
  4.

  ningekufundisha lakini naona una yako mkuu

  ficha uso
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Yale yaleeeeee!
   
 4. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  CCM Inao watu wake nje: Mrema na Cheyo ni mask za upinzani zilizovaliwa na ccm
   
 5. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,674
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Bungeni siku zote huwa ni dili tu zinachezwa!!
  Sisi mitaani ndiyo tunaochukiana, kutukanana, kuumizana na hata kuuana.
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Waberoya,

  Huyu jamaa nashindwa kumuelewa yuko kundi gani ndani ya Chadema maana anarusha maneno na mwisho anajisahau kabisa kuwa ameshasema hivi. Nilikuwa sijamfahamu kabisa au kumjali ila jana ndiyo nimekuja kumfahamu hapa JF.

  Ona majibu yake jana:

  From: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/250411-huyu-said-juna-nkumba-cv-yake-kumbe-iko-hivi-na-makelele-yote-yale-bungeni-4.html

  Anajichanganya hadi inakuwa ni rahisi sana kwa muda mfupi kumfahamu yeye ni nani.
   
 7. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nadhani na wewe unaanza kujiuliza nini kipo nyuma ya Zito? Kwa nini yeye? Hivi CCM ni wajinga kwa kiwango hicho?

  Tafakari chukua hatua.
   
 8. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,562
  Likes Received: 3,858
  Trophy Points: 280

  Mkuu kazi tunayo!

  sasa wengine tungekuwa na mapresha ya kutukana watu matusi hovyo na hasira kama huyu leo tusingekuwa na miaka minne JF!!

  wengi wa style hii walikuja na tukaona hawapo tena!

  kwake yy siasa ni uadui..kumbe hawa wana CCM, CDM, NCCR, TLP ndio tunaombana chumvi na moto, ndio tunakopana na kupakia dala dala moja

  hawa wanachama wa vyama mbalimbali regardless their differences wanaoana na kuhudhuria kwenye misiba na harusi

  Ndio maana ukitaka nchi hii uonekane mjinga wewe endekeza chuki za kidini , kikabila na kichama...peole out there they will laugh at you

  Ndiyo maana wanashangaa wengine tunashindana leo na kuchukizana , kesho tunacheka na kutaniana,,,JF inaendelea

  sasa wasio jua wanashindwa kutofautisha JF kama debate ground..YES IT IS!!, ila wanaona JF kama ni uwanja wa vita!!!!

  Huyu jamaa nimemchora sana, comment zake, matusi yake, IQ yake n.k leo anajifanya anauliza decently....kwenye thread yake hii , ili hali akiwa na hidden agenda za kumtukana zitto, just imagine hata wenzie wanachadema wanaona kituko...ndiyo akina sie!

  sijajua hoja gani au kitu gani kilipelekea aingize wazazi wetu kwenye hoja za humu ndani!

  Mtu wa namna hiyo simply anakuwa amefilisika mawazo...hana uwezo wa kusema point wala kujenga hoja, ..uwezo wake unajengwa kwenye matusi, ubishi na kutaka kuonekana mshindi

  Tutamwomba invisible aweke kajisehemu ka wanasaikolojia kusaidia watu wa namna hii...anaumwa ila hajui kuwa anaumwa!

  Pole Sikonge, just put him in the ignore list -----it helps

  wala sitajibizana na huyu mheshimiwa sana.
   
 9. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hatupingi kuwa zitto ni very smart..ila pia kuna wabunge wengi na viongozi wengi ndani ya chadema ambao ni smart pia! Ila mtu anayetetewa na kulindwa na magamba kuliko mfano ni zitto..halafu ukimfuatilia sana zitto utagundua kuwa ni mwoga sana kuitaja chadema! Zitto usizingue watu..there is something fishy btn you and ccm!!!! Jiulize! Idadi kubwa ya wafuasi wa chadema kwanini hawakuamini?
   
 10. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,562
  Likes Received: 3,858
  Trophy Points: 280
  Kama mwanachadema kweli utajua swala hili alilisemea vizuri sana Regia!! kama haujuia anzisha thread nyingine , nikusaidie...thread hii kwangu ni kama ajali

  huyo usiyemuamini ndiye mmoja wa top leaders! juzi kapewa rungu mwanza cdm ikatoka kidedea

  acheni hizo mnajiua nyie
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,562
  Likes Received: 3,858
  Trophy Points: 280
   
 12. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #12
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
   
 13. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  chadema mnaongoza hapa jf kwa kusengenyana!
   
 14. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  chadema mnasengenyana sana mara leo kinote cha mbowe bungeni kimeliki kutaka komu achaguliwe na wabunge wa ccm wanaotoka kaskazini,mara mtei kafilisika,mara mnyika jimbo limemshinda,mara imefika wakati dr slaa aachane na uchumba aoe sasa,mara zitto ni kirusi ndani ya chadema,Mara Komu anafuja pesa za chadema! chadema mko juu sana kwa kusengenyana(gossiping)
   
 15. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Zittophobia can be likened to flu phobia, it is visible but Zittomania is like mask mania, it is disturbing!

  [​IMG]
  For most people, phobia is the anticipation of the pain rather than the pain itself but mania happens to be blind to both.

   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,562
  Likes Received: 3,858
  Trophy Points: 280
  ha ha haaa

  mkuu umenichekesha!!
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Duh JF kwa kumbukumbu safi sana! Ukijichanganya tu watu wanaivuta thread wanaileta.
   
 18. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 1,803
  Trophy Points: 280
  zito ni jembe....
   
Loading...