Unasoma kitabu gani sasa hivi?

Unasoma kitabu gani sasa hivi?

When All You've Ever Wanted Isn't Enough The Search for Life That Matters. By Harold S. Kushner.

Must read .
 
Narudia kwa mara ya tatu kusoma "Journal of the discovery of the source of the Nile by John Hanning Speke". Mtafikiri mi kichaa ila hii journal kila nikisoma nakuta najifunza kitu kupitia kila hatua aliyopitia speek kwenye safari yake. Edition niliyonayo ni ya 1996. Nina kingine ninasoma wakati ninapokuwa sitaki kwenda kwenye mambo ya Speke nasoma Tip & Run by Edward Paice utaona jinsi watu walivyopoteza maisha for the sake of power kati ya wajerumani na majeshi shirika . Hii edition ya 2007.

vipi umejiandaaje na uchaguzi kurudiwa zanzibar?
 
vipi umejiandaaje na uchaguzi kurudiwa zanzibar?
Huo una wenyewe mi mbara ya huko Zenj hayahusu ila aloshinda angepewa tu basi. Tumechoka na maongezi yasoisha wakati hatupati feedback. By the way wana seating allowance au ndo chai na kahawa na kashata basi?
 
Narudia kwa mara ya tatu kusoma "Journal of the discovery of the source of the Nile by John Hanning Speke".
Mtafikiri mi kichaa ila hii journal kila nikisoma nakuta najifunza kitu kupitia kila hatua aliyopitia speek kwenye safari yake. Edition niliyonayo ni ya 1996. Nina kingine ninasoma wakati ninapokuwa sitaki kwenda kwenye mambo ya Speke nasoma Tip & Run by Edward Paice utaona jinsi watu walivyopoteza maisha for the sake of power kati ya wajerumani na majeshi shirika . Hii edition ya 2007.
Hapo kwenye red. Hakika ndivyo ulivyo
 
mkuu natafuta softcopy ya kitabu kinaitwa 13hours in benghanz. ni kizuri kinaelezea story ya kweli kwa kilichotokea libya tarehe 11sept.2012. kimeandikwa na mitchell zuckof
 
PERFUMED GARDEN.
Aisee, kitabu hiki nilikuwa nacho kuna jamaa aliniomba akasome akasepa nacho! Nimetafuta sana sijakipata. Ebu pm. Kwa sasa nasoma HOW TO STOP WORRYING AND START LIVING cha DALE CARNEGIE pg 148.
 
[="INNOCENT CHACHA, post: 15099592, member: 205341"]Hapo kwenye red. Hakika ndivyo ulivyo[/QUOTE]
Nashukuru sana
 
Hongereni kwa kuweza kusoma e-books..nilijaribu nikashindwa. I do HARD COPIES.

Mwaka wangu mpya huwa unaanza siku niliyozaliwa. Kwa sasa nina siku 13 hadi mwaka mpya wangu. Natarajia kuanza kusoma kitabu chochote cha Dambisa Moyo. Mpaka sasa sijapata hata bookshop yenye kitabu chake. Yeyote atakayepata duka au mahali kilipo anijulishe atakuwa amenipa bonge la birthday gift...nitakinunua mwenyewe!

This is a nice thread. Ningependekeza unapomaliza kusoma kitabu, uandike a short review ya hicho kitabu.
 
mkuu ebooks me naona ndo rahisi hasa kwa sisi ambao hatuna mda wa kwenda bookshops kutafuta vitabu,pia tunakwepa gharama maana ni kudownload tu alafu kuna apps nzuri sana za kusomea ebooks kwa windows mfano ni 'book bazaar reader' na 'book viser' interface yake kama umeshika kitabu vile.....reviews zitakuja bila shaka mkuu
 
Last edited:
Mimi nasoma kitabu kinachoitwa "ENERGY FINANCE AND ECONOMICS" (Analysis and Valuation, Risk Management and Future of Energy" by Betty Simkins and Russell Simkins. (2013)

Kutokana na kugundulika kwa nishati ya gesi asilia nchini nimeamua nijisomee ili nione uwekezaje wako unafanyika vipi Duniani na nini nafasi ya wazawa kushiriki katika uwekezaji wa mali asili hii, je inawezekana kwa kuangalia mifano ya nchi zingine Duniani zenye mali asili ya mafuta na gesi asilia.
This book provides the latest information and insights into the finance and economics of energy and it is the first book to provde this breadth of coverage on this topic (Simkins and Simkins, 2013).

Wasalaam,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, unaweza kushare tukakisoma wote na tukakijadili kuongeza maarifa, nita ku pm unitumie kwa email na mimi nitakutumia nilivyokwisha visoma nawe upate ujuzi.

Pia binafsi napendelea zaidi non-fiction books na kwa sasa nasoma MODERN ROMANCE by AZIZ ANSARI, nipo page ya 102..

View attachment 316897
 
Mimi nasoma kitabu kinachoitwa "ENERGY FINANCE AND ECONOMICS" (Analysis and Valuation, Risk Management and Future of Energy" by Betty Simkins and Russell Simkins. (2013)

Kutokana na kugundulika kwa nishati ya gesi asilia nchini nimeamua nijisomee ili nione uwekezaje wako unafanyika vipi Duniani na nini nafasi ya wazawa kushiriki katika uwekezaji wa mali asili hii, je inawezekana kwa kuangalia mifano ya nchi zingine Duniani zenye mali asili ya mafuta na gesi asilia.
This book provides the latest information and insights into the finance and economics of energy and it is the first book to provde this breadth of coverage on this topic (Simkins and Simkins, 2013).
imekaa vizuri sana mkuu nakiweka kwenye listi pia
 
Back
Top Bottom