HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,632
- Thread starter
- #21
vinahusu nini?mimi nasoma vuta nkuvute cha Adam Shaffi.
nikimaliza nitasoma A grain of wheat cha Ngugi wa Thiong.
vinahusu nini?mimi nasoma vuta nkuvute cha Adam Shaffi.
nikimaliza nitasoma A grain of wheat cha Ngugi wa Thiong.
ujumbe wake ni nini?Mimi nimeanza kusoma kitabu cha Prof Karim Hirji kiitwacho Growing up with Tanzania
Narudia kwa mara ya tatu kusoma "Journal of the discovery of the source of the Nile by John Hanning Speke". Mtafikiri mi kichaa ila hii journal kila nikisoma nakuta najifunza kitu kupitia kila hatua aliyopitia speek kwenye safari yake. Edition niliyonayo ni ya 1996. Nina kingine ninasoma wakati ninapokuwa sitaki kwenda kwenye mambo ya Speke nasoma Tip & Run by Edward Paice utaona jinsi watu walivyopoteza maisha for the sake of power kati ya wajerumani na majeshi shirika . Hii edition ya 2007.Wasalaam
kama kichwa cha habari kinavyo jieleza,unaweza kushare tukakisoma wote na tukakijadili kuongeza maarifa,nita ku pm unitumie kwa email na mimi nitakutumia nilivyokwisha visoma nawe upate ujuzi pia binafsi napendelea zaidi non-fiction books na kwa sasa nasoma MODERN ROMANCE by AZIZ ANSARI nipo page ya 102 View attachment 316897
Mapenzi,jinsi wahenga walivyokuwa wakingonoka,na taratibu zake.theme yake ni nini?
Download Genius Choisissez le serveur pour le téléchargement directMwanye hiki kitabu anisaidie wadau Forensic nurse : the role of The nurse in law enforcement by serita stevens.
roger that mkuuThe making of the Modern Economics,
Lives and Ideas of great acient economic thinkers and how their inputs have changed the world today.
Kirefu lakini huwezi kutoka kama ulivyokuwa kabla hujaanza kusoma
mkuu una soft copy ya hiki kitabuThink Big.....Ben Curson
Bei gani wanauza mkuu?mkuu bahati mbaya nina soft copy,mlimani city pale kuna frame naona hua wanauza vitabu posta pia huwezi kosa
48 Laws Of Power.
tuwekee hapa hiyo softcopy mkuu tafadhali.mkuu bahati mbaya nina soft copy,mlimani city pale kuna frame naona hua wanauza vitabu posta pia huwezi kosa