Hongereni kwa kuweza kusoma e-books..nilijaribu nikashindwa. I do HARD COPIES.
Mwaka wangu mpya huwa unaanza siku niliyozaliwa. Kwa sasa nina siku 13 hadi mwaka mpya wangu. Natarajia kuanza kusoma kitabu chochote cha Dambisa Moyo. Mpaka sasa sijapata hata bookshop yenye kitabu chake. Yeyote atakayepata duka au mahali kilipo anijulishe atakuwa amenipa bonge la birthday gift...nitakinunua mwenyewe!
This is a nice thread. Ningependekeza unapomaliza kusoma kitabu, uandike a short review ya hicho kitabu.