Unasoma kitabu gani sasa hivi?

HUNIJUI SIKUJUI

JF-Expert Member
Apr 4, 2015
1,335
1,550
Wasalaam,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, unaweza kushare tukakisoma wote na tukakijadili kuongeza maarifa, nita ku pm unitumie kwa email na mimi nitakutumia nilivyokwisha visoma nawe upate ujuzi.

Pia binafsi napendelea zaidi non-fiction books na kwa sasa nasoma MODERN ROMANCE by AZIZ ANSARI, nipo page ya 102..

index.jpg
 
Mimi kwa sasa nasoma Dirty wars : the world is the battlefield cha Jeremy Sachill kama unaweza kunitafutia Drones: Targeted killing moral , legal and geo political issues by Dr Marjorie Cohn nitakutumia vitabu vyote nilivyopanga kuvisoma mwaka huu 35
 
asante mkuu ntakitafta,ntajaribu kuvitafta na hivyo vingine nita ku pm tutumiane kwa email
 
How to program Java cha deitel, develop your psych power, physics for scientists and engineers, secret teachings of all ages, the canon of medicine cha Avicenna.
 
How to program Java cha deitel, develop your psych power, physics for scientists and engineers, secret teachings of all ages, the canon of medicine cha Avicenna.
mkuu programming ni ngumu sana inahitaji utulize kichwa kweli.....asante
 
mimi nasoma vuta nkuvute cha Adam Shaffi.

nikimaliza nitasoma A grain of wheat cha Ngugi wa Thiong.
 
Back
Top Bottom