octaviankweka
Member
- Oct 17, 2015
- 92
- 33
Nataka nianze kusoma vitabu naombeni ushauri nianze na vitabu vipi
nakushauri soma vitabu vinavyohusu investment na finance kwa ujumlaNataka nianze kusoma vitabu naombeni ushauri nianze na vitabu vipi
Poor dad rich dad ni kitabu kizur cha kuanza nachoNataka nianze kusoma vitabu naombeni ushauri nianze na vitabu vipi
yeah kiko poa sanaPoor dad rich dad ni kitabu kizur cha kuanza nacho
As ante mkuuPoor dad rich dad ni kitabu kizur cha kuanza nacho