Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Baba ndiyo zangu hizo.

Unawajua kings?
Nawajua vizuri sana Raf MC, Motra the Future, Pacha the great ( elishajames), sight more hahaha nawakubali sana washikaji ila saiv naona kama kila mtu kivyake. Ngoma zao karibia zote ninazo mkuu huwa nawaelewa sana hawa jamaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom