Kuna vita ya tatu inakuja

Kuna vita ya tatu inakuja

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Vita ya kuuana kwa Teknolojia inakuja [emoji44]

Tajiri namba moja ulimwenguni Elon musk amewaonya kuwa mzozo unaoendelea kati ya nchi ya Israel na Palestine unaweza kusababisha vita ya tatu ya Dunia kama ujamalizwa.

Uchochezi unaofanywa na mataifa makubwa kama vile marekani, Russia na china dhidi ya hii vita inayoendelea nchini Palestine Kati ya hamas na Israel utaweza kusababisha maafa makubwa kwa Dunia na kuleta vita ya tatu.

Kupitia Mtandao wa X ulifanyika mahojiano ambapo Elon musk ,David sacks na Vivey Ramaswamy walishiriki walisema ni muhimu marekani nguvu waliotumia kuhifadhili nchi kama Ukraine dhidi ya Russia basi inabidi waipeleke hamas Kwenye vita dhidi ya Israel.

images%20-%202023-10-25T115735.855.jpg


Hofu kubwa juu ya Teknolojia ilivyokuwa kubwa na jinsi nyuklia, silaha za kisasa , ndege zisizo za rubani zinaendelea kuzalishwa basi Kuna hofu kubwa ya kutokea vita ya tatu ya dunia ulimwenguni ikiwa mambo haya hayatamalizwa.

images%20-%202023-10-25T115748.292.jpg


Tuendelee kuwaombea raia mbalimbali waliopatwa na majanga Kati ya Palestine na Israel mgogoro umalizike maana wanakufa wasio na hatia.

We say Free Palestine [emoji1193][emoji1193][emoji1193][emoji736]
 
Vita zote mbili zilizotokea, zilisababishwa na Greed kuhusu Ardhi ya Afrika.

Hivyo basi, Vita Kuu, ikiwa ndicho kinachosemwa, ya Tatu, itatokea wakigombania Afrika.

Vita ya Wayahudi na Wapalestina, itaamuliwa na nguvu za Imani zao, na sio vinginevyo. Sio kwa Vita ya Tatu anayodai huyo mjamaa.
 
Vita ya kuuana kwa Teknolojia inakuja [emoji44]

Tajiri namba moja ulimwenguni Elon musk amewaonya kuwa mzozo unaoendelea kati ya nchi ya Israel na Palestine unaweza kusababisha vita ya tatu ya Dunia kama ujamalizwa.

Uchochezi unaofanywa na mataifa makubwa kama vile marekani, Russia na china dhidi ya hii vita inayoendelea nchini Palestine Kati ya hamas na Israel utaweza kusababisha maafa makubwa kwa Dunia na kuleta vita ya tatu.

Kupitia Mtandao wa X ulifanyika mahojiano ambapo Elon musk ,David sacks na Vivey Ramaswamy walishiriki walisema ni muhimu marekani nguvu waliotumia kuhifadhili nchi kama Ukraine dhidi ya Russia basi inabidi waipeleke hamas Kwenye vita dhidi ya Israel.

View attachment 2792364

Hofu kubwa juu ya Teknolojia ilivyokuwa kubwa na jinsi nyuklia, silaha za kisasa , ndege zisizo za rubani zinaendelea kuzalishwa basi Kuna hofu kubwa ya kutokea vita ya tatu ya dunia ulimwenguni ikiwa mambo haya hayatamalizwa.

View attachment 2792365

Tuendelee kuwaombea raia mbalimbali waliopatwa na majanga Kati ya Palestine na Israel mgogoro umalizike maana wanakufa wasio na hatia.

We say Free Palestine [emoji1193][emoji1193][emoji1193][emoji736]
Kwani yeye ana wasiwasi gan? , Yeye anauwezo wa kuchukua familia yake watatoka duniani , wakaishi kwa space. Wacha tu ije madwanzi yamejaa sana hapa duniani, wacha vita hiyo hije ili yafe
 
Amka, utajikojolea....
HAKUNA VITA YA 3 ITAANZISHWA NA NCHI MASIKINI
Tulitegemea Russia angeipulula Ukraine nakuendelea na nchi zingine ndio tuongelea vita ya 3
 
Naomba sana kwa Mwenyeenzi(Mungu mkuu wa ulimwengu wote) aepushe na kutuplia mbali dalili zote za vita ya tatu ya dunia.
Namuomba pia kwa mapenzi yake , vita zote zinazoendelea duniani aziingilie kati na kuleta amani duniani kote.
Amin.
 
Back
Top Bottom