Unasema ukiwa kama Bwana Harusi unapofungua albam yako ya harusi na kuiona hii picha

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
DimjThwWsAA7ost (1).jpg

Walivaa suti nyeusi ndiyo marafiki zako wa karibu sana na ndo mabest men katika harusi yako
 
Lijamaa lenyewe limekaa kizembe, lazima mashemela washike maungo hakuna namna
 
jamaa wote ni kama wajeda...dah ila huyo mshikaji kalikamatia zigo sio bure, atakuwa kamla tu huyo mamsap
 
Haina tatizo...

Kugusa siyo kuchukua...

Hata kwenye mziki unapocheza nyuma ya mwanamke zero distance kabisa mmenatiana haimanishi ndiyo ushalala nae...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom