Unasalimiwa....

Hahahaha jf raha kweli lol
Nakuunga mkoo aisee yaani mabosi wangekua wanajua nini kinaendelea kwenye hizi laptop zao maofisini wengi kazi kwishney...maaana mimi asubuhi lazima nalogin alafu naminimize naenda kuchukua kikombe cha kahawa alafu na maxmize nasoma kidogo alafu na minimize alafu ndo naanza kazi za ofisi... hahahahhha balaa hili. JF forever babe..!!
 
Umeonae?......ukiwa memba wa jf hufi kwa presha wala kisukari lol.....stress free muda wote!

Acha kabisa usiseme kuhusu mabosi manake siku wakitungundua lazima vibarua viote nyasi!
 
Bahati ya nini tena Platoo... siku hizi mimi labda uniwekee kreti ya Kesto bridiiii zinazotoa jasho, hapo kwa kweli utaniweza...hayo mengine zero kabisa ndo maana wife huwa hanaga tatizo hata kama akiniona naongea na demu mkali kiasi gani.

Anakulia timing wewe hujui..........ngojea siku ammwagie mtu maji ya moto ndipo utapata habari yake
 
Sisi wanaume wengine tuna matatizo kweli, jana nilienda na familia kule kwenye michezo ya maji.......mimi kwa kweli huwa nanunuaga magazeti alafu naenda kaunta wakati wife anaogelea na watoto..... nikiwa nalelekea kule kaunta dada mmoja akaniomba gazeti alikua amelala kwenye viti vya kuotea jua huku amevaa miwani ya jua......kwa sababu nilikua nayo mengi nikampa moja nikamwambia asome akimaliza nitalipitia, yeye akasistize nisubiri alikua anapitia headings tu...wakati nasubiri akaja jamaa ...akanipita na kakikumbo flani hivi...akaenda akakaa pembeni ya yule dada..nikamsalimia Habari za saa hizi kaka... jamaa akapiga kimya wala hata hakuniangalia... yule dada akamgeukia akamuuliza Si unasalimiwa?... jamaa hakumjibu akaendelea kujifuta maji na taulo.... basi mimi nikaondoka yule dada badae akaniletea gazeti langu akaniomba samahani kwa niaba ya jamaa yake akaniambia.. Msamehe bure tu kaka yangu wanaume wengine wana mambo ya kizamani sana.
aisee kumbe nini wewe ndugu yangu ,ndo mm bwana nilikuchunia jana beach
tatizo ulikuwa unamkodolea mimacho my wife wangu!
ndo maana nikakupotezea,alafu wife itabidii anieleze kwani alienda kukuomba msamahaaa
 
Hahaha..muulize pia kwa nini alikukashfu una mambo ya kizamani.
 
Nakuunga mkoo aisee yaani mabosi wangekua wanajua nini kinaendelea kwenye hizi laptop zao maofisini wengi kazi kwishney...maaana mimi asubuhi lazima nalogin alafu naminimize naenda kuchukua kikombe cha kahawa alafu na maxmize nasoma kidogo alafu na minimize alafu ndo naanza kazi za ofisi... hahahahhha balaa hili. JF forever babe..!!

Nakwambia ulijuaje, unaombea kazi zisiwe nyingi kila siku
 
na ukiwa kama mwanaume halisi unadhani ulimtendea haki bint mrembo aliyekufuata akiwa na swimming bikini yake na kukuomba umsamehe "basha wake wa ki-zamani"..???

Je hauoni kama ulitakiwa uchukuwe mawasiliano yake ili uweze kumjulia khali ya mahusiano yake mabovu na basha mwenye mambo ya kizamani?

Je hudhani kama wewe ndiye mwokozi pekee wa bint mrembo aliyenasa kwenye penzi la basha mpuuzi asiyestahili kuwa naye .... Au ulitaka yeye bint akuombe namba?

Je huna hisia kuwa umekuwa mzee/ aka domo zege such that bint anakuambia simama mpaka asome heading zote...huoni kama ulikuwa unakaribishwa uzidi kufahamiana naye vizuri?

Je huoni kama kitendo cha kumuacha mama na watoto wanaogelea na wewe kwenda kukaa kaunta kulikutia katika vishawishi na ni muda muafaka wa kuwa unaogelea na mama au usiende kabisa hukoo usijeingia majaribuni?

Jibu maswali haya ya awali then jiandae kwa multipo choisi kweshensi.
Umenichekesha sana mmm! JF kweli ni burudani tosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom