- Thread starter
- #41
Umenichekesha sana mmm! JF kweli ni burudani tosha
JF burudani haswaaa..... mimi huwa naitumia kutoa Hangover pia...
Umenichekesha sana mmm! JF kweli ni burudani tosha
Fataki at workkumbe ni bahati kuombwa gazeti??
Kuna mtu kaniomba kitabu cha 'songs of Lawino' na ananilazimisha niwe namsomea afu nyumbani kwake, na ni jinsia tofauti na mie.
Fataki at work
Litakutana na mizaili ya Obama, we liache tu
Ntalichuna hata kama lina ngozi ya kitimoto