Unapotoka kusaliti (kuchepuka), unapokutana na mwenza wako hivi unajisikiaje?

Beste wewe umechepuka bila Sababu. Wengine wanaochepuka sababu wanayo,Nia wanayo ila usiombe uwe na sababu maana hayo unayoandika hutaona. Kuchepuka sio dili ni dhambi ila tufanyeje sisi na wakati tunasababu?
 
Mimi binafsi sina mke , ila nilibahatika kupata mnyaturu mmoja haki ya mungu sina hamu na wanawake tena, alinisaliti mara tano kwa ushahidi wa macho yangu yeye ni mkazi wa singida.

Sasa kuna rafiki yake mambo aliyonieleza nilihisi nimeshakufa niliambiwa yule siyo malaya ni kahaba! Na jamaa linalombeba ni lidingi tu na familia yake na linanafasi kubwa kwenye taasisi ya serikali nadhani limo humu pumbavu kabisa.
kwamba limo humu.
 
Don’t do it Bro, it is a HUGE mistake. Your confession could destroy your marriage forever.

Hakuna mwadamu alie kamilika, ( wote wamefanya makosa na hata kupungukiwa na utukufu ). Nilifanya makosa na dhambi, na nilitubia... ila namuandaa kisaikolojia nije ku confess kwa mwenzangu ili niwe na amani, siku mkaza kwa mda mrefu sana.. kwa hofu ya kumchafua na uchafu wa mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom