Unapotoka kusaliti (kuchepuka), unapokutana na mwenza wako hivi unajisikiaje?

πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½

Mzee baba...mimi kwa ushauri bora yeye usimuambie aiseee...lazima utamuwekea doa..kama binadamu...
Wewe nyamaza tu..as long as umeishamuomba msamaha Mungu wako na yeye pia umedhamiria kutokumzunguka tena....Usimwambie chochote....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umechepuka kwa kujiendekeza ni wazi utaumia sana moyoni mwako lakini kama kisababishi cha kuchepuka kimesababishwa na mtu uliyenae huwezi kuumia hivyo

Ni kama hujazoea kula kwa watu pasipo sababu siku ukila unajihukumu vitu vingi

Lakini ukila kwa watu kwasababu mpishi wako hajapika vizuri, hakijaiva au amechelewa kupika utaona kawaida tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeeleweka mchepukaji
 
Kwakweli sitokaa nisahau kilichotokea mwaka jana. Niliandamwa na mapigo na mojawapo kubwa kabisa pigo la kwanza ni kujua mume wangu wa miaka kumi alikua ananicheat. Nilimwamini sana toka uchumba hadi ndoa. Yaani na yeye alikua anajua jinsi ninavyomwamini so akatake advantage. Nilifaham baada ya mchepuko kunipigia kimakosa...uchungu nilioupata hauelezeki. Nina miaka 30s lakini uzito uliporomoka mpaka 47 kg. Nilipata pressure ya kushuka mpaka nilikua nashindwa kutembea kwa kizunguzungu na kuishiwa nguvu. Nilikua nilitaka niondoke, kikwazo kikaja sikua na kazi. Mpaka leo sijakaa sawa.wanawake na wanaume mnaochepuka mnaumiza sana sana wenzi wenu. Hata kama mtasameheana na kuamua kuendelea, ndoa kamwe haitakua kama mwanzo hata ufanye nini. Hamjui tuuu. Hiki kitu kinanitesa hadi leo nikikumbuka jinsi nilivyokua najitahidi kutimiza majukunu yangu kama mke,mama na mlezi wa familia.
 
Poleh sweetheart put urself first
Love and heal
For urself na watoto
Uyo kenge asije akakuondoa duniani wkt raha kapata yeye...maumivu yako inahusuuuu?..
Kaza moyo dada
 
Mme wa mwenzako una muita kenge ? Wakati mwenyewe hamuiti hivyo ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom