Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Childish!
Kuna thread na picha kama hizi zimeshawekwa tayari kwenye thread kibao, na mijadala ishafanywa, bado mtu anafanya recycle ya same material!...you monotonous agent!
Nadra sana sana kiti kilichoandaliwa katika safu ya mbele ya viongozi wa juu katika matukio kubaki wazi, labda walioandaa walikosea kujua idadi ya wahudhuria na nyadhifa zao, au mhusika amesusia. Mimi sina jibu.
Tusilete mada ikawa ndeeeeefu sana hicho kiti kilikua ni cha kwangu nilikua nimekaa hapo sema nilitoka kwenda Kutabawali mpiga picha hakupata picha yangu je unalingine?
Hahahahah,kama ni msiba wa juzi basi kilikua cha MTEKETA ABDUL,mbunge wa Kilombero
Siku hizi watu wanaogopa misumali na polonium nani anataka kufa mapema?
Kiti hicho aliandaliwa bibi yako.
Childish!
Kuna thread na picha kama hizi zimeshawekwa tayari kwenye thread kibao, na mijadala ishafanywa, bado mtu anafanya recycle ya same material!...you monotonous agent!
Tukimaliza kujadili viti tuhamie kwenye. . . . . ?
Yawezekana ilikuwa nafasi ya Dr slaa.